• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikapu: Mafunzo ya mpira wa kikapu yakamilika Zanzibar

    (GMT+08:00) 2018-09-06 09:18:31

    Mafunzo ya siku mbili ya mchezo wa mpira wa kikapu mpya unao julikana kwa jina ''Three on Three" yamekamilika huku vilabu mbali mbali vikishiriki kwenye mafunzo hayo yaliofanyika Viwanja vya Polisi Ziwani Mjini Unguja.

    Akizugumza baada ya kukamilika mafunzo hayo ya siku mbili Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa Kikapu Zanzibar (BAZA) Salmini Ramadhan Taso amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwafundisha wachezaji hawa aina nyingine ya mpira wa kikapu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako