• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Mapato ya URA yaongezeka mwaka 2017-18

    (GMT+08:00) 2018-09-06 19:31:28

    Licha ya kukosa kufikia makadirio yake ya ushuru mwaka 2017-18,halmashauru ya ushuru nchini Uganda URA imefunga mwaka 2017 kwa kukusanya shilingi trilioni 1.7 zaidi.

    Kamishena mkuu wa wa URA Uganda Doris Akol ,amesema wamekusanya shilingi trilioni 14.4 kutoka kwa matarajio yake ya trilioni 15.

    Ushuru kutoka kwa mafuta ya nazi na kupunguzwa kwa ushuru wa mchele ulioingizwa nchini ni miongoni mwa vyanzo vya kuongezeka kwa mapato ya URA.

    Ongezeko hili la trilioni 1.7 ni asilia 13 .

    Aidha serikali imeanza kuona mafanikio ya ushuru wa mitandao ya kijamii, kwani inalenga kupata shilingi bilioni 8.3 kila mwezi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako