• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tumbaku yaongoza katika ukusanyaji wa kodi

    (GMT+08:00) 2018-09-07 18:44:58

    Ukuzaji wa zao la Tumbaku nchini Uganda unadaiwa kueleteza serikali ya nchi hiyo kodi kubwa zaidi katika sekta ya kilimo. Kwa mujibu wa takwimu kutoka kwa mamlaka ya kodi nchini Uganda,zaidi ya shilingi bilioni 18 zilikusanywa kutoka kwa kilimo cha Tumbaku.Hata hivyo fedha hizo ni kidogo ikilinganishwa na shilingi bilioni 19 zilizokusanywa mwaka wa 2016.

    Kwa miaka sasa kilimo cha tumbaku kimekuwa kikiongoza katika ukusanyaji wa kodi kwenye sekta ya kilimo ikifuatwa kwa karibu na sigara ambayo inatokana na bidhaa hiyo. URA imesema hatua hiyo inatokana na kuwa inatozwa kodi kubwa zaidi ili kuzuia uvutaji wa sigara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako