• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda Tumbaku imechangia kodi kuliko sekta yeyote ya kilimo

    (GMT+08:00) 2018-09-10 20:23:25

    Kilimo cha tumbaku kinatengeneza pesa zaidi kwa mujibu wa kodi kuliko shughuli nyingine yoyote katika sekta ya kilimo, hii ni kulingana na takwimu zilizopatikana kutoka Mamlaka ya Mapato ya Uganda (URA).

    Zaidi ya Sh bilioni 18, kulingana na takwimu, zilikusanywa kutoka kwa kilimo cha tumbaku sekta zote zikiwekwa pamoja ambayo ni sh bilioni 125 mwaka 2017.

    kwa mujibu wa takwimu, tumbaku imechangia pakubwa mchango wa kodi kwa miaka mingi katika sekta ya kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako