• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania Biashara kati ya China na Urusi yaimarika

    (GMT+08:00) 2018-09-10 20:24:00

    Kiwango cha biashara kati ya China na Urusi imepanda kwa asilimia 25.7 katika kipindi cha mwezi Januari na Agosti mwaka huu na kufikia dola za marekani bilioni 67.51.

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na kituo cha forodha cha China, bidhaa zinazotoka China kuingia urusi zimepanda kwa asilimia 13.5 na kufikia dola za marekani 31.17 katika kipindi hicho cha Januari na Agosti.

    Kwa upande wa kiwango bidhaa zinazotoka Urusi kuingia China imepanda kwa asilimia 38.5 na kufikia dola bilioni 36.34

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako