• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Sekta ya viwanda yapuuza kulipa mikopo benki.

    (GMT+08:00) 2018-09-10 20:25:05

    Sekta ya viwanda nchini Kenya imeadikisha idadi kubwa ya wateja waliopuuza kulipa mikopo kwa mda wa miezi mitatu.

    Ripoti mpya ya benki kuu ya Kenya inaonyesha huenda ukosefu wa kulipwa kwa mikopo hii ukaathiri ajenda ya maendeleo ya jumla.

    Mikopo hiyo iliokosa kulipwa ,imeongezeka kwa bilioni 6.6 kutoka shilingi bilioni 39.6 kufikia mwaka 2017.

    Wateja wengi wameshindwa kulipa mikopo hiyo kufuatia kudorora kwa biashara kwa jumla.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako