• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Djibouti : Djibouti yataifisha kwa eneo la bandari la kupakua shehena la Dolareh

  (GMT+08:00) 2018-09-11 18:55:07

  Serikali ya Djibouti imeagiza kutaifishwa kwa eneo la bandari la kupakua shehena la Dolareh baada ya mzozo wa muda mrefu na kampuni ya kimataifa ya Dubai Ports World.

  Eneo hilo ni muhimu kwani linatumika kupokea bidhaa zinazoelekea Ethiopia ambayo haina bandari.

  Serikali ya Djibouti ilikuwa na mgao wa thuluthi tatu kwenye ushirikiano inaofanya na kampuni hiyo ya Dubai lakini baadaye ikadai kwmapuni hiyo imetwaa umiliki wote.

  Taarifa ya serikali inasema rais wa nchi hiyo ameagiza tarehe 9 Septemba kutaifishwa mara moja kwa bandari hiyo na kuanza mpango wa kuteua kampuni mpya ili kushirikiana nazo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako