• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mbio za Baiskeli, Rwanda: Timu ya taifa yaanza mikakati kwa ajili ya mashindano ya dunia

  (GMT+08:00) 2018-09-12 11:13:30

  Bingwa wa Afrika katika mchezo wa mbio za baiskeli kwa upande wanaume, Joseph Areruya kutoka Rwanda, jana ametuma ujumbe kwa waendesha baiskeli wote wanaunda timu ya taifa ya Rwanda, kuhakikisha wanaendelea na mazoezi binafsi kabla ya kuingia kambi rasmi kwa ajili ya mashindano ya dunia ya mwezi nchini Austria.

  Areruya alizungumza kwa simu akiwa nchini Ufaransa ambako huko anaendelea na timu yake ya mbio za Baiskeli ya Marseille.

  Katika mashindano hayo ya Austria Areruya anatarajiwa kuungana na wachezaji wengine wanne kwa ajili ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23, na wachezaji wengine watatu amabo watashiriki mbio za Chipukizi.

  Mashindano ya Austria ni makala ya 91 na yatafanyika rasmi Septemba 22 hadi 30.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako