• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Timu ya taifa ya Rwanda katika kusaka tiketi ya kombe la Dunia

  (GMT+08:00) 2018-09-13 09:22:59

  Kocha wa timu ya taifa ya kikapu ya Rwanda Vladimir Bosnjak amechagua wachezaji 12 kwa ajili ya michezo ya raundi ya pili ya makundi ya kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la dunia la mwaka 2019 itakalifanyika nchini China.

  Rwanda ipo kundi F pamoja na Mali, Senegal, Ivory Coast, Jamhuri ya kati na Nigeria.

  Rwanda imejpatia tiketi ya kucheza katika hatua hii ya pili ya muondoano baada ya kumaliza hatua ya kwanza ikiwa mshindi wa pili na alama 9 nyuma ya Nigeria wenye alama 12. Timu mbili za kwanza katika kundi hilo na moja itakayoshindwa kwa kiwango kidogo zitawakilisha Afrika katika michuano ya kombe la dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako