• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA: Kipchoge awazia mamilioni ya riadha mjini Berlin

  (GMT+08:00) 2018-09-13 09:23:22
  Bingwa wa Olimpiki Eliud Kipchoge anasubiri kwa hamu kubwa mbio za kifahari za Berlin Marathon zitakazofanyika wiki mbili mapema kuliko miaka mingine hapo Septemba 16 nchini Ujerumani.

  Kupitia kwa mtandao wake wa Twitter, bingwa huyo mara mbili wa Berlin Marathon alisema jana, "Berlin ni mji spesheli kwangu, nasubiri kwa hamu kubwa kurejea uwanjani kushindania taji la Berlin Marathon tena."

  Kipchoge atakuwa akiwinda taji lake la tatu jijini Berlin baada ya kuibuka mshindi mwaka 2015 na 2017.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako