• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Marekani zafanya mawasiliano kuhusu hali halisi ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili

    (GMT+08:00) 2018-09-13 20:43:33

    Msemaji wa Wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng amesema, China imepokea mwaliko kutoka Marekani kuhusu kufanya majadiliano, na pande hizo mbili zinafanya mawasiliano kuhusu hali halisi.

    Bw. Gao pia amesema China ina matumaini kuwa Marekani itafuata matakwa ya wananchi, kuchukua hatua halisi, na kufanya mazungumzo na majadiliano kwa njia yenye usawa na kuaminika, ili kuurejesha uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya pande hizo mbili kwenye njia ya kawaida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako