• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Florentino Perez amtaja Rafael Nadal kama mrithi wa kiti chake Real Madrid

  (GMT+08:00) 2018-09-14 10:41:05

  Raisi wa sasa wa Real Madrid Florentino Perez amekaririwa akisema anadhani mtu anayefaa kuchukia nafasi yake akiondoka kwa sasa ni Rafael Nadal mcheza tenisi maarufu duniani kutoka Hispania ambaye anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa klabu ya Real Madrid.

  Perez akizungumza na jarida la El Confidencial amesema kwamba Nadal atakuwa mtu sahihi sana kwa Real Madrid kutokana na mapenzi yake kwa timu hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako