• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sheria mpya ya FIFA kuhusu wachezaji wa mkopo, mtihani kwa Chelsea

  (GMT+08:00) 2018-09-14 10:41:20

  Shirikisho la soka duniani (FIFA) lina mpango wa kuweka sheria ambayo itaweka kiwango maalum kwa vilabu kutoa wachezaji kwa mkopo au idadi ya muda wa mchezaji kutolewa kwa mkopo.

  Mapendekezo ya FIFA ni kwamba mchezaji mwenye miaka 21 kuja chini ambaye amelelewa na klabu yake ya nyumbani na amekuwa akitumiwa na timu yake kwa makataba ataruhusiwa kutolewa na mkopo muda wowote bila kuangalia idadi kwamba ametoka mara ngapi.

  Lakini mchezaji ambaye hajacheza timu ya wakubwa na hana mkataba wa kuitumikia timu ya wakubwa basi watatolewa kwa kiwango maalumu.

  Chelsea mpaka sasa inacheza takribani 40 waliopo kwa mkopo vilabu mbalimbali msimu huu wa 2018/19

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako