• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mwaka 2018 wa maendeleo ya safari za ndege duniani waanza Guangzhou

    (GMT+08:00) 2018-09-17 09:46:51

    Mkutano wa Maendeleo ya safari za ndege duniani wa mwaka 2018 uliofunguliwa jana mjini Guangzhou, China, umeshirikisha makampuni zaidi ya 300 ya ndege kutoka nchi 110 duniani.

    Katika mkutano huo, kundi la viwanja vya ndege la mkoa wa Guangdong limesaini makubaliano ya uendelezaji na ushirikiano na mashirika 7 ya ndege likiwemo shirika la ndege la Ethiopia, na linatarajiwa kuanzisha safari za kimataifa za kwenda Madrid, Milan, St. Petersburg, na Islamabad.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako