• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Ligi Kuu ya Italia: Mchezaji wa Juventus aadhabiwa kwa utovu mkubwa wa nidhamu

    (GMT+08:00) 2018-09-17 10:14:42

    Kwenye mechi kati Juventus na Sassuolo mchezaji wa kimataifa ya Brazil Douglas Costa alitolewa nje kwa kadi nyekundu kutokana na kitendo kisichokuwa cha kiuanamichezo na kilichopigwa marufuku.

    Douglas alimtemea mate mchezaji wa Sassuolo Federico Di Francesco baada ya mkwaruzano wa uwanjani.

    Licha ya kuomba radhi kwa Federico na kwa mashabiki, suala la Douglas linajadiliwa na chama cha soka na huenda akakabiliwa na adhabu zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako