• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ikulu ya Korea Kusini yaeleza mambo yatakayojadiliwa kati ya viongozi Korea Kusini na Kaskazini

  (GMT+08:00) 2018-09-17 18:26:35

  Msemaji wa ikulu ya Korea Kusini Bw. Im Jong-seok amesema, mazungumzo yajayo kati ya viongozi wa rais wa nchi hiyo na kiongozi wa Korea Kaskazini yatazingatia uhusiano kati ya nchi hizo mbili, kuhimiza mazungumzo kati ya Korea kaskazini na Marekani na kutuliza hali ya wasiwasi ya kijeshi katika peninsula ya Korea.

  Bw. Im Jong-seok amesema, rais Moon Jae-in wa Korea Kusini atawasili Pyongyang kesho na kufanya mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, na kutangaza makubaliano yatakayofikiwa baada ya mazungumzo hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako