• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanasayansi watatu wa China wamo kwenye orodha ya wanasayansi vijana wa Baraza la Uchumi Duniani

    (GMT+08:00) 2018-09-18 08:57:28

    Wanasayansi watatu wa China kutoka sekta ya dawa wamo kwenye orodha ya wanasayansi vijana wa mwaka 2018 iliyotangazwa jana na Baraza la Uchumi Duniani WEF.

    Kwa mujibu wa tovuti ya WEF, kuna wanasayansi 36 waliochaguliwa katika orodha hiyo, ambao wote wana umri wa chini ya miaka 40 na wamefanya utafiti wa kina katika sekta za akili bandia, baiolojia, fizikia, nishati na kutoa mchango katika kusukuma mbele maendeleo ya kisayansi, kuboresha afya ya binadamu, kuhimiza maendeleo endelevu na kuhimiza masikilizano na usawa wa kijamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako