• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtanzania ashika nafasi ya pili Afrika mashindano ya kuchezea mpira

    (GMT+08:00) 2018-09-18 09:25:23

    Mwanadada Hadhara Mohamed kutoka Tanzania ameshika nafasi ya pili kwenye mashindano ya Afrika ya kuuchezea mpira (Football Freestyle) yaliofanyika nchini Nigeria.

    Ushindi huo umemfanya kupata nafasi ya kushiriki mashindano ya dunia yatakayofanyika nchini Poland November 22 mwaka huu.

    Mashindano hayo yaliofanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika yalishirikisha wanaume na wanawake ambapo kwa upande wa wanawake mwanadada Rasheedat Ajibade raia wa Nigeria ameshinda nafasi ya kwanza mbele ya Mtanzania Hadhara Mohamed.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako