• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Gofu Wanawake, Uganda: Bingwa wa mwaka huu aeleza jitihada

  (GMT+08:00) 2018-09-19 10:57:32

  Neema Olomi ambaye ni mchezaji wa kulipwa wa mchezo wa gofu kutoka Tanzania, ameeleza siri ya ubingwa wa mwaka huu katika mashindano ya kimataifa ya Uganda yaliyomalizika mwishoni mwa juma hili.

  Licha ya kueleza furaha aliyonayo, Olomi alidai kuwa katika siku mbili za mwanzo wa michuano hiyo, alipata matokeo hafifu ambayo yalimfanya asiwe na nafasi kubwa ya kushinda lakini, jitihada maradufu alizofanya katika siku ya pili ndizo zilisawazisha matokeo kuwa sawa hata kuingia fainali.

  Bingwa mtetezi wa mashindano hayo amabye pia ni kutoka Tanzania, Angel Eaton alishinda nafasi ya nne, nafasi ya pili ikienda kwa Martha Babirye na ya tatu ikichukuliwa na Irene Nakalembe kutoka Uganda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako