• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya watangaza pendekezo kuhusu mageuzi ya WTO

    (GMT+08:00) 2018-09-19 19:11:16

    Kamati ya Umoja wa Ulaya imetoa pendekezo la kwanza kuhusu mageuzi ya Shirika la Biashara Duniani (WTO), yanayolenga kuzifanya kanuni za Shirika hilo kuendana na changamoto zinayoyakabili maendeleo ya uchumi ya dunia.

    Taarifa iliyotolewa jana na kamati hiyo imesema, Umoja wa Ulaya unaunga mkono mfumo wa biashara wa pande mbalimbali, na pendekezo lake kuhusu mageuzi linahusisha sekta tatu muhimu, ambazo ni kubadilisha kanuni ya sasa ya biashara ya kimataifa ili kuridhisha mahitaji ya maendeleo ya uchumi ya dunia, kuimarisha usimamizi wa WTO, na kuondoa kukwama kwa mfumo wa kutatua mgogoro wa shirika hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako