• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mechi za ligi kuu Tanzania bara zimeendelea jana Jumatano, Yanga yakaa kileleni mwa ligi

    (GMT+08:00) 2018-09-20 09:37:17

    Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea jana kwenye viwanja tofauti, Jijini Dar es Salaam Yanga, wamewakaribisha Coastal Union ya Tanga na kuwafunga goli 1-0 ambalo limewawezesha kushika usukani mwa ligi hiyo.

    Aidha, katika uwanja wa Samora huko Iringa, Lipuli imepata ushindi wake wa kwanza tangu ligi hiyo kuanza msimu huu dhidi ya Alliance School ya Mwanza, Pia kunako dimba la Mwadui Complex wenyeji Mwadui FC wametoka sare ya 1-1 dhidi ya JKT Tanzania.

    Biashara United yalazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC

    Mbeya City yaishindilia Ruvu Shooting magoli 4-2, na Ndanda FC yaibwaga Mtibwa Mtibwa Sugar

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako