• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya mechi za ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)

    (GMT+08:00) 2018-09-20 09:39:27

    Ligi ya mabingwa barani Ulaya imeshika moto tena usiku wa jana kwa mechi 8 za hatua ya makundi kupigwa kweye viwanja tofauti.

    Katika mitanange hiyo, klabu za Juventus, Real Madrid, Manchester United, Bayern na Ajax zimeibuka na ubabe. Christiano Ronaldo amelimwa kadi nyekundu dakika ya 29 ya mchezo wa timu yake ya Juventus ilipokutana na Valencia, hata hivyo Juventus imeibuka na ushindi wa magoli 2-0.

    Wakati huo Manchester City imeendelea kuwa kibonde kwenye mashindano hayo kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Lyon ikiwa nyumbani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako