• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu elfu 7 warudi Idlib baada ya makubaliano ya Russia na Uturuki

    (GMT+08:00) 2018-09-20 12:19:27

    Watu wapatao elfu 7 wamerudi nyumbani mkoani Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria katika siku mbili zilizopita baada ya Russia na Uturuki kufikia makubaliano yanayolenga kuzuia makabiliano ya kijeshi mkoani humo. Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu elfu 30 wamekimbia makazi yao kutokana na hofu na mashambulizi makali mkoani Idlib, ikiwa ni ngome ya mwisho ya waasi nchini Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako