• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti wa baraza la mashauriano la China asisitiza utekelezaji kamili wa sera kuu mkoani Ningxia

    (GMT+08:00) 2018-09-21 08:19:18

    Mwenyekiti wa baraza la mashauriano ya kisasa la China Bw. Wang Yang ametoa wito wa kutekelezwa kikamilifu sera kuu zilizotangazwa na Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika mkoa unaojiendesha wa kabila la wahui wa Ningxia ili kuujenga kuwa mkoa ambao watu wanafurahia ustawi wa kiuchumi, umoja wa kikabila, mazingira mazuri na maisha mazuri.

    Akiongoza ujumbe wa kamati kuu ya CPC, Bw. Wang alikuwa mkoani Ningxia kwa ajili ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 60 ya kuanzishwa kwa mkoa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako