• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wasababisha vifo vya maelfu ya raia katika miaka minne nchini Syria

    (GMT+08:00) 2018-09-24 09:20:23

    Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria lenye makao makuu yake nchini Uingereza, limesema maelfu ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani dhidi ya kundi la IS nchini Syria katika miaka minne iliyopita. Serikali ya Syria mara kwa mara imeutaka Umoja wa Mataifa kuhimiza kuondolewa kwa muungano huo kutoka Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako