• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Karate, Wachezaji wengi wajitokeza kuhudhuria mafunzo ya mchezo huo nchini Rwanda

  (GMT+08:00) 2018-09-24 10:25:26

  Inaelezwa kuwa mahudhurio katika semina ya mafunzo ya mchezo wa Shotokan Karate yanayoendelea mjini Kigali nchini Rwanda ni ya kiwango cha juu zaidi.

  Semina hiyo inaendeshwa na mtaalam wa Sanaa hiyo ya mapigano kutoka Japan Tishihiro Mori akisaidiwa na Kamino Masaru pamoja na Dr. Harano Kazuyoshi, wote kutoka Japan.

  Hii ni mara ya pili semina ya kufanyika tangu ifanyike tena mwaka 2015 kilipoanishwa na chama cha mchezo huo nchini Rwanda, na Rwanda ni mwanachama wa Chama cha Karate cha Japan ambacho ndiyo taasisi kubwa kuliko zote za mchezo huo duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako