• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Telcos imezima maelfu ya kadi za simu kutokana na udanganyifu

    (GMT+08:00) 2018-09-24 20:37:25

    Kampuni za mawasiliano zimezima maelfu ya kadi za simu kwenye mitandao yao, kutokana na udanganyifu, maagizo kutaoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA).

    Telkom ilizima kadi 14,373 kutoka kwenye mtandao wake.

    Airtel imesema imezima kadi 584,134. Mkurugenzi mkuu wa mawasiliano, Francis Wangusi, amesema ukaguzi mwingine utafanyika mwezi Novemba ili kuthibitisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako