• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Mauzo ya nje ya bidhaa za Rwanda yaongezeka

    (GMT+08:00) 2018-09-25 19:00:01

    Mauzo ya nje ya bidhaa za Rwanda yameongezeka kwa dola milioni 159.

    Sekta ya kilimo nchini humo imeendelea kufanya vyema ikisaidiwa na mikakati ya serikali.

    Serikali imepata dola milioni 515 kati ya Julai 2017 na Juni 2018, likiwa ni ongezeko la asilimia 44 kutoka dola milioni 356 za mwaka 2016.

    Taakwimu kutoka kwa halmashauri ya kuuuza nje bidhaa za kilimo zinaonyesha kuwa bidhaa ambazo awali hazikuuzwa nje sasa zimeanza kuuzwa na kuiletea serikali dola milioni 354. Bidhaa hizo ni kama vile mboga na matunda.

    Nazo bidhaa kama vile chai, kahawa na pareto zilikuwa na ongezeko la mauzo la asilimia 20 na kuiletea Rwanda dola milioni 134.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako