• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Unilever na Mr Green Africa zasaini makubaliano ya kulinda mazingira

    (GMT+08:00) 2018-09-25 19:00:46

    Kampuni ya kutengeneza bidhaa za matumizi ya nyumbani nchini Kenya Unilever imesaini makubaliano na kampuni ya Mr Green Africa ili kutengeneza upya plastiki na hivyo kupunguza uchafuzi wa mazingira.

    Unilever imesema tayari imetoa shilingi milioni 30 kwenye makuabaliano hayo.

    Sasa kampuni ya Mr Green Africa itafungua vituo 75 zaidi vya kukusanya plastiki kote nchini humo kutoka 25 vilivyoko kwa sasa.

    Kampuni hiyo ya Mr Green hutumia taka za pastiki kutengeneza matanki nan doo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako