• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: "Kariakoo Derby" Mashabiki wa Simba na Yanga waanza tambo, mwamuzi wa mchezo hadharani.

  (GMT+08:00) 2018-09-27 08:20:33

  Ni kariakoo au unawezakuita Dar es salaam derby, big mechi baina ya watani wa jadi Simba na Yanga kupigwa Jumapili hii Septemba 30 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

  Kama kawaida ya mechi hukutanisha mahasimu wakubwa wawili wa soka Afrika Mashariki wenye mashabiki lukuki ndani na nje ya Tanzania. Huku mashabiki wa kila timu wakianza tambo zao, shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza waamuzi wa mchezo huo, huku muamuzi wa kati akitajwa mwanama Jonesia Rukyaa kutoka mkoa wa Kagera. Rukyaa atasaidiana na Ferdinand Chacha pamoja na Mohamed Mkono na mwamuzi wa Mezani atakuwa Elly Sasii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako