• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 319 wauawa katika miezi mitano mkoani Idlib, Syria

    (GMT+08:00) 2018-09-28 08:40:12

    Watu zaidi ya 319 wameuawa katika miezi mitano iliyopita ya kutokuwa na sheria katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi mkoani Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria. Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria limesema wapiganaji 250 ni sehemu ya watu hao waliouawa na wengine waliofariki ni raia waliouawa katika milipuko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako