• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan atoa wito kwa jumuiya ya kimataifa iunge mkono mapambano dhidi ya magendo ya binadamu

    (GMT+08:00) 2018-10-02 09:13:28

    Rais Omar Al-Bashir wa Sudan ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa iiunge mkono Sudan katika kuimarisha mapambano dhidi ya uhamiaji haramu na magendo ya binadamu.

    Rais Al-Bashir amesema hayo akihutubia bunge la taifa, na kusisitiza haja ya kuimarisha kazi ya kusimamia shughuli zinazofanywa na wahamiaji haramu kutoka nje na wakimbizi nchini Sudan, ili kuhakikisha usalama wa wananchi wake.

    Amesisitiza tena kuwa Sudan imedhamiria kutimiza amani na utulivu wa kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako