• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanadiplomasia wa China apongeza juhudi kubwa za wafanyakazi wa SGR nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2018-10-02 09:39:21

    Mwanadiplomasia wa China nchini Kenya Bw. Li Xuhang amewapongeza wafanyakazi wanaojenga reli ya SGR kutokana na juhudi zao bila ya kusita hata wakati wa siku ya taifa ya China, ili kuhakikisha reli hiyo inafanya kazi kwa utaratibu.

    Bw. Li amesema tarehe 1 Oktoba ambayo ni siku ya taifa ya China ni moja kati ya siku muhimu za mapumziko nchini China, na kwamba kazi ya kujitolea ya wafanyakazi wa reli ya SGR itasaidia kuimarisha ushirikiano kati ya China na Kenya, na maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako