• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sheria ya kupiga marufuku uingizaji wa magari yaliyotumika yaanza kutekelezwa nchini Uganda

    (GMT+08:00) 2018-10-02 09:39:45

    Kamishna wa Mamlaka ya mapato ya Uganda Bw. Dickson Kateshumba amesema Sheria ya kupiga marufuku uingizaji wa magari yaliyotumiwa kwa miaka zaidi ya 15, imeanza kutekelezwa kuanzia tarehe 1 Oktoba nchini Uganda.

    Bw. Kateshumba amesema hii inahusisha magari yatakayoingizwa nchini humo kupitia bandari za Mombasa, Kenya, na Dar es Salaam, Tanzania, isipokuwa yale ambayo hatua ya kuomba hati za kuingia forodhani imekamilika kabla ya tarehe 30, Septemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako