• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda na jimbo la Rhineland-Palatinate kuboresha uhusiano

    (GMT+08:00) 2018-10-02 19:06:47

    Serikali ya Rwanda na jimbo la Rhineland-Palatinate nchini Ujerumani zimeahidi kuboresha uhusiano wao katika sekta ya mbalimbali.

    Waziri wa Rhineland-Palatine Malu Dreyer, ameongoza ujumbe wa maafisa 35 kwenda Rwanda ambako wamekutana na waziri wa serikali za mitaa Francis Kaboneka.

    Waziri Kaboneka amesema pande hizo mbili zimekubaliana kuongeza mauzo ya bidhaa.

    Kwa zaidi ya miaka 35 ushirikiano kati ya Rwanza na jimbo la Rhineland Palatinate umejikita hasa kwenye sekta za miundo mbinu, afya, michezo na elimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako