• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Tanzania yanunua zaidi kutoka Kenya

    (GMT+08:00) 2018-10-02 19:07:29

    Tanzania imeendelea kununua bidhaa zaidi kutoka Kenya, taakwimu sasa zikionyesha Kenya iliuzia Tanzania bidhaa za shilingi bilioni 7.4 kati ya mwezi Aprili na Juni.

    Kituo cha taakwimu nchini Kenya kinasema kumekuwa na ongezeko la zaidi ya thuluthi tatu ikilinganishwa na shilingi bilioni 5.5 kipindi sawa na hicho mwaka jana.

    Bidhaa ilizoagiza sana Tanzania kutoka Kenya ni kama vile sabuni, vitabu na magari yanayotoka nchi za nga'mbo na kuuzwa nje na kampuni za Kenya.

    Hata hivyo mauzo ya Kenya nchini Uganda yamesalia shilingi bilioni 14.8 katika kipindi hicho.

    Na mauzo ya jumla ya Kenya kwenye nchi nyingine za Afrika Mashariki yameongezeka hadi shilingi bilioni 28.8 kutoka bilioni 26.6 mwkaa jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako