• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Majadiliano ya kawaida ya baraza kuu la 73 wa Umoja wa Mataifa yafungwa

    (GMT+08:00) 2018-10-02 19:44:53

    Majadiliano ya kawaida ya Baraza Kuu la 73 la Umoja wa Mataifa yamemalizika jana kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York.

    Wajumbe kutoka nchi mbalimbali wamefuatilia sana mjadala kuhusu kulinda utaratibu wa pande mbalimbali na utaratibu wa kimataifa kwenye msingi wa kanuni, amani na usalama wa dunia na kikanda, pamoja na maendeleo endelevu na mabadiliko ya hali ya hewa.

    Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Baraza hilo Bi. Maria Fernanda Espinosa amesema utaratibu wa pande na nchi mbalimbali zinaunga mkono kazi za Umoja wa Mataifa, na dunia inahitaji kushirikiana zaidi kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako