• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Asilimia ya RMB katika akiba ya sarafu za kigeni duniani yaongezeka

    (GMT+08:00) 2018-10-03 09:16:08

    Takwimu zilizotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF zinaonyesha kuwa katika robo ya pili ya mwaka huu, miongoni mwa sarafu mbalimbali za kigeni zinazomilikiwa na benki kuu za nchi mbalimbali, asilimia ya sarafu ya kichina RMB imeendelea kuongezeka.

    Takwimu zinaonyesha kuwa akiba za RMB zimefikia dola za kimarekani bilioni 193.38, na kuchukua asilimia 1.84 ya sarafu zote zinazochukuliwa kama ni akiba ya sarafu za kigeni, ikiwa ni juu ya asilimia 1.7 ya sarafu ya Australia na chini kidogo ya asilimia 1.91 ya sarafu ya Canada.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako