• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya Ulinzi ya Marekani yapokea barua mbili zinazoshukiwa kuwa na sumu aina ya ricin

    (GMT+08:00) 2018-10-03 09:16:30

    Barua mbili zilizopimwa kwa kuwa na sumu aina ya ricin na kifaa cha Wizara ya Ulinzi ya Marekani zilipelekwa kwa waziri wa ulinzi Jim Mattis na mkuu wa operesheni za jeshi la majini John Richardson.

    Shirika la Upelelezi la Marekani linaloongoza uchunguzi huo leo linatarajiwa kufanya vipimo kwa mara nyingine ili kutambua matokeo ya mwanzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako