• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sekta ya mtandao wa internet nchini China inaendelea kukua kwa kasi

    (GMT+08:00) 2018-10-03 16:40:21

    Huduma ya mtandao wa internet nchini China na sekta zinazohusiana na huduma hiyo zimeendelea kukua kwa kasi katika miezi minane ya mwanzo ya mwaka huu, huku soko la michezo kwenye mtandao likiendelea kupanuka kwa utulivu.

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Viwanda na Habari ya China imesema, pato la sekta ya mtandao wa internet limefikia dola za kimarekani bilioni 86.7 katika kipindi cha January mpaka Agosti, ikiwa ni ongezeko la asilimia 20.7 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho.

    Katika kipindi cha Januari hadi Agosti, Guangdong, Shanghai na Beijing zilishuhudia ongezeko la biashara ya internet kwa asilimia 20, 28.4 na asilimia 25 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako