• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wachina wanaotalii katika nchi za nje yaendelea kushika nafasi ya kwanza duniani

    (GMT+08:00) 2018-10-03 18:40:46

    Idara ya takwimu ya taifa ya China imetoa ripoti ikisema, idadi ya wachina wanaotalii nchi za nje inaendelea kushika nafasi ya kwanza duniani

    Ripoti hiyo imeonesha kuwa, kuanzia mwaka 1995 hadi 2016, idadi ya wachina waliotalii nchi za nje imeongezeka kutoka milioni 5 hadi milioni 135, ambayo imeongezeka kwa asilimia 17.6 kwa mwaka. Mwaka 1995 idadi hiyo ilishika nafasi ya 17 duniani, na kuingia nafasi kumi za mwanzo mwaka 2003. Kutoka mwaka 2013 hadi 2016, China imeshika nafasi ya kwanza duniani, na ni soko kubwa zaidi la utalii wa nchi za nje duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako