• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yakumbwa na kukatika umeme kote nchini

    (GMT+08:00) 2018-10-04 09:22:21

    Uganda imekabiliwa na tatizo la kukatika kwa umeme kote nchini kutokana na hitilafu za kimfumo.

    Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Uganda imesema kukatika huko kwa umeme kumefuatia hitilafu kwenye usambazaji wa dharura kati ya kituo cha umeme cha Nalubaale katika eneo la mashariki la Jinja na stesheni ya umeme ya Lugogo mjini Kampala.

    Kampuni hiyo imeongeza kuwa inafanya kila iwezalo kurudisha utoaji wa umeme.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako