• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UN yarefusha muda wa hatua za kupambana na magendo ya wahamiaji kutoka Libya

    (GMT+08:00) 2018-10-04 09:28:33

    Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limeamua kuongezea muda hatua za kukagua meli kwenye pwani ya Libya kwa miezi 12 zaidi, ili kupambana na magendo ya wahamiaji.

    Kwa mujibu wa azimio Namba 2437 la baraza hilo, nchi wanachama wa Umoja wa mataifa wanaruhusiwa kukagua meli zinazoshukiwa kutumiwa kusafirisha kiharamu wahamiaji kutoka Libya, na kuzikamata meli zilizothibitishwa kuhusika na shughuli hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako