• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi ya Mabingwa barani Ulaya: Neymar apiga Hat trick

    (GMT+08:00) 2018-10-04 09:38:10
    SOKA: Ligi ya Mabingwa barani Ulaya: Neymar apiga Hat trick,

    Ligi ya mabingwa barani ulaya imeendelea usiku wa kuamkia leo, kwa timu za makundi kadhaa kukutana, kundi A, Atletico Madrid imeibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Club Brugge, na Borussia Dotmund wameifunga Monaco goli 3-0.

    Kundi B, PSV Eindhoven imekubali kichapo cha 2-1 toka kwa Inter Milan, huku Barcelona ikiifunga Tottenham Hotspurs 4-2.

    Kundi C, PSG imeichakaza FK Creva Zvezda kwa goli 6-1, Neymar akipiga hat trick. Nayo Napoli imeilaza Liverpool kwa goli 1-0.

    Kundi D, Schalke 04 imeipiga Lokomotiv Moscow bao 1-0 na Porto kuibuka kidedea kwa goli 1-0 dhidi ya Galatasaray.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako