• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama cha upinzani cha PDP Nigeria chamchagua aliyekuwa makamu wa Rais kugombea urais mwakani

    (GMT+08:00) 2018-10-08 09:35:05

    Chama kikuu cha upinzani cha Nigeria PDP kimechangua Bw. Atiku Abubakar kuwa mgombea urais wa chama hicho, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka kesho.

    Bw. Abubakr amewashinda wagombea wengine 11 ikiwa ni pamoja na mkuu wa baraza la senate Bw. Bukola Saraki na gavana wa jimbo la Sj-okoto Bw. Aminu Tambuwal.

    Bw. Abubakr alikuwa makamu wa Rais wa Nigeria kati ya mwaka 1999 na 2007, na alikuwa mshirika wa Rais wa sasa na Nigeria Bw. Muhamud Buhari.

    Rais wa Sasa wa Nigeria Bw. Muhamud Buhari, pia amechaguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa mchujo uliofanyika jumamosi mjini Abuja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako