• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya; Kaunti zaangalia wakati mgumu baada ya hazina ya fedha kupendekeza kupunguzwa kwa bajeti yao kwa asilimia 0.4

  (GMT+08:00) 2018-10-08 20:24:42

  Kaunti zinaangalia wakati mgumu, huku Hazina ya Taifa ikiwa na mipango ya kupunguza bajeti ya 2019-2020 na asilimia 0.4.

  Hii, ni kama njia moja ya kuzuia utuamiaji mbaya wa fedha za umma.

  Kupunguza kwa kiasi cha fedha kina chotumwa kwa serikali za kaunti itakuwa ya kwanza katika miaka sita.

  Matumizi ya Serikali ya Taifa yanayofadhiliwa kutoka kwa rasilimali za ndani yanatarajiwa kupungua kwa asilimia 1.2 ya Pato la Taifa, waziri wa fedha Henry Rotich amesema hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako