• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, Man United sasa wamgeukia kocha wa Tottenham

  (GMT+08:00) 2018-10-09 08:51:07

  Licha ya habari kuzagaa kwamba Zinedine Zidane angechukua nafasi ya Jose Mourinho kuifundisha Man United, hali hiyo imebadilika na sasa inaelezwa kuwa United wanataka huduma za kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino.

  Yote haya yanaendelea ikiwa tayari imefahamika kuwa kufutwa kazi kwa kocha Jose Mourinho ni suala ambalo liko wazi na si tetesi tena, ikiwa ni kutokana na matokeo duni ambayo klabu hiyo imeendelea kuyapata.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako