• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:Kenya yatamba tuzo za World Travel

  (GMT+08:00) 2018-10-09 19:43:32

  Kenya kwa mara nyingine tena imeshinda tuzo kadhaa za utalii kwenye hafla World Travel Awards iliofanyika mjini Durban Afrika Kusini.

  Tuzo hizo za WTA hutolewa kwa wadau waliotia fora kwenye sekta za usafiri wa kitalii na hoteli.

  Diani Reef Beach Resort imeshinda tulo la hoteli bora ya ufukweni huko nayo pwani ya iddylic Diani Beach ikitambuliwa kuwa bora zaidi kwa miaka mitano mtawalia.

  Manda Bay katika kaunti ya Lamu nayo ilishinda tuzo la hoteli bora ya kibinafsi barani Afrika.

  Tuzo nyingine zilitolewa kwa Fairmont Mount Kenya Safari Club ( hoteli bora Afrika) , Palacina, Villa Rosa Kempiski na Maasai Mara Olare Mara Kempiski.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako