• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu ya mpira wa wavu Rwanda kutimua vumbi Novemba 10

  (GMT+08:00) 2018-10-10 10:46:04

  Ligi ya taifa ya mpira wa wavu nchini Rwanda msimu wa 2018/19 inatarajiwa kuanza Novemba 10 mwaka huu. Tarehe ya kuanza ligi hiyo imepitishwa na shirikisho la mpira wa wavu Rwanda, bodi ya mchezo huo pamoja na viongozi wa vilabu vitakavyoshiriki mchezo huo, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo uwanja wa Amahoro.

  Ligi upande wa wanaume itaanza Novemba 10 wakati ligi ya wanawake ya mchezo huo itaanza mwezi januari mwakani 2019.

  Ligi hiyo imepangwa kukamilika mwezi Mei mwakani huku wakati wa michuano ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari itakayofanyika mwezi julai mwaka 2019.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako