• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi vya usalama vya Kenya vyaimarisha msako dhidi ya wapiganaji baada ya walimu wawili kuuawa

    (GMT+08:00) 2018-10-11 08:45:35

    Vikosi vya usalama vya Kenya vimeimarisha msako dhidi ya wapiganaji zaidi ya 20 walioshambulia shule moja katika kaunti ya Mandera, kilomita moja kutoka kwenye mpaka wa Kenya na Somalia.

    Kamishna wa kaunti ya Mandera Kutswa Olaka amesema wapiganaji hao wanashukiwa kuwa ni wapiganaji wa kundi la al-Shabab, na walirusha bomu la kienyeji dhidi ya makazi ya walimu na kuwaua walimu wawili. Polisi wamepelekwa na kuimarisha usalama katika eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako